Sisi ni kina furaha, Amani na Upendo. Tunabeba Hekima ,Busara na Mafanikio. Tulikuwa wengi . Huruma na Upole wanakuja nyuma. Chuki na wivu hawakuwa na pesa ya kusafiri. Taabu ni mgonjwa mahututi. Shida yuko jela. Matatizo amepigwa shoti ya umeme. Mikosi amefariki njiani

Advertisements