Hao ni kina chuki hawakusaidi maishani. Wanatembea asteaste kuelekea kwa nyumba ya kina madhara na mashaka. Huko wao wana njama. Wanampamgia Upole kifo, mazishi na matanga. Huruma alipata habari hiyo na wanasaidiana na hatua kulijua suluhu bora.Hawataki maovu awaone kwani kwa maoni yao alimtafuta masaibu ili kumwumiza Amani. Kina Uzuri wameachwa na maswali mengi yasohitaji majibu.

Advertisements