Ni hali mbaya

kuaminika sana

lakini…

masaibu yako tunayaona wazi

Ni kweli unapata

mshahara mdogo

ni kweli huwezi

ishi kwuna a nyumba kubwa

kwa kuwa fedha hazikuwezeshi

ni kweli huwezi endesha gari kubwa

kwasababu fedha huna za kutosha

Ni hali mbaya

kwasababu

kuna

hali kubwa ya ufisadi

hadi ukitumia pesa

zinaoongezeka kama

zile mikate na samaki

ambayo Yesu alizidisha

ni hali mbaya

Ni hali mbaya

kwani hata wanapoulizwa

si eti wanaeza jibu

kutudanganya na

kutumia ushuru wetu kujiboresha.

Ni hali mbaya

mbaya kukithiri

ni hali mbaya

ambayo si hali ya kawaida

hali inayostahili kurerbishwa

hali mbaya

Advertisements